Caren
JF-Expert Member
- Feb 12, 2010
- 278
- 91
Wadau,
Nimeona watu wengi katika hii subforum ya Ujasiriamali wanaulizia namna ya kupata mikopo ya kuendesha biashara zao (hasa isiyohitaji kuweka dhamana).
Baada ya kuona wengi hawapati majibu sahihi nimeona nami nichangie kwa kuwaambia kuhusu mikopo ya vikundi pale Benki ya Wanawake (TWB). Mikopo hii inayoanzia na mkopo wa TZS 200,000 ni mikopo inayolenga kuwakomboa wajasiriamali wadogo na inaaambatana na mafunzo ya namna ya kuendesha biashara. Uzuri wa mikopo hii watu hawaweki dhamana ya mali bali dhamana ni utu wako tu.
Nenda pale TWB kwa maelezo zaidi. Nitawatumia taarifa za ziada kama mtazihitaji. By the way mikopo ya vikundi pia ipo Dar es Salaam Community Bank na FINCA na PRIDE.
Ukiamua unaweza.