profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Ndugu wataalam wa fedha, wachumi na wabobevu wa mambo ya pesa.
Nauliza ni benki gani inatoa mikopo walau yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali, kuna mfanyakazi mwenzangu amekopa benki moja kongwe hapa nchini, naona kama riba kubwa sana, angalia hapa
1. MKOPO-16,000,000/
2. MUDA-MIEZI 60
3. MAKATO KWA MWEZI-380,000/
Wakati anakopa alikatwa baadhi ya pesa, alipata kama 15.3m, atarudisha kama juma kama 22,000,000/na nasikia mwaka huu wa fedha, riba zimepanda benki.
Sijui ni benki ipi in nafuu wakuu.