Mikopo ya waajiriwa serikalini inaumiza. Benki gani inatoa mikopo yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali?

Azania bank pekee utapata kwa riba nafuu almost mikopo yao yote iko na rate ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…