Mikopo ya Wanafunzi wa Diploma Bodi mtoe taarifa kinachoendelea

katumbwalala

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
27
Reaction score
20
Kuna wanachuo wameondoka chuoni baada ya kukaa Toka October Hadi January na wengine wanapitia magumu Hadi sasa
 
Watatoa wapi hela, wahuni tu hao!!! Nyinyi mhesabie tu maumivu.
 
Hawana hela, Degree wanawapa hela kwa batch. Malalamiko ya mfumo wa DIDIS ndo usiseme kikubwa management nzima ya bodi ya mikopo inawakosea sana watanzania
 
Watatoa wapi hela, wahuni tu hao!!! Nyinyi mhesabie tu maumivu.
Pesa ipo..mbona tunanunua magoli ya simba, yanga, taifa stars kwa 10m/goal.

Hivyo vibilioni 84 si ni pesa kwenda kusalimia ndugu zangu kule kwa wavaa makobazi kwa siku 10 tu.
 
Wazazi wasomeshe watoto wao, mseleleko husababisha ajali na hata kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…