mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Leo nikiwa na mbwembwe zangu nimejisogeza hapo bank nikitaka kuchukua mkopo hapo ili niongeze nguvu kwenye mradi wangu wa mifugo.
Basi nilivyofika bank nikampatia afisa mikopo salary slip yangu baada ya kuikagua akanijibu hivi “unadaiwa mkopo na sisi na nimefanya hesabu hapa ili upate pesa unayoitaka inabidi u ToP up na bado utapata kama milioni saba hivi na mkopo huu utaulipa hadi 2030”
Vaada ya kuambiwa hivo nikajiona mjinga sana yaani nipewe milion saba halafu nilipe hadi 2030 inawezekanaje sasa, na mradi niliokuwa nataka kuutanua ni mradi wa n'gombe za maziwa ambazo hapo kidamali yule mzungu anauza hadi milion tano Ng'ombe moja, so wakinipa hiyo ntanunua moja nabaki na chenji, nikabadili mbinu ilibidi nimtumie bwana mdogo salary slip, du naye kanipa majibu karibu na mwanzo.
Nimeishia kusikitika sana, nimejihurumia na kuwahurumia sana watumishi wa umma, na nimewaza hivi wana wanaikopa wanajenga na kununua magari inakaaje aisee, yaani unakopaa unajenga sasa hapo umefanya nini?
Hivi hamna kitu Serikali inaweza tufanyia watumishi wa umma, kama hali itabaki hivi aisee watumishi tuna kazi ya ziada.