Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Ndugu wadau,
Mikopo yenye riba kubwa inawatesa watanzania hasa watumishiwa umma.Hapa singida kuna taasisi za fedha zinakopesha
wafanyakazi unakopa tsh.1 milion,unalipa zaidi ya tsh.3.5 milion.Hicho ndo chanzo cha kuwaongezea umaskini watanzania hususan watumishi wa umma.Ukitaka kusettle balance unaambiwa server ipo sijui Africa kusini au Botswana.Sielewi kwanini serikali imeyapa haya makampuni kibali cha kutufilisi.
Ombi: 1. kwa Benki kama Baclays na BancABC wafanye makubaliano ya haraka na wakurungenzi wa Halmashauri mkoani Singida kuweza kutunusuru na hili janga linalotuangamiza watumishi.
2.Serikali ipitie vibali vya Taasisi za fedha zinazo kopesha kwa riba kubwa kwa kuwasihi wapunguze riba au vifutiwe vibali ili visiendelee kuwalaghai watumishi wengi wa serikali ambao wengi wao wapo taabani ki fedha kutokana na mishahara yao kukatwa kwa asilimia kubwa huku wakiwa wamechukua kiasi kidogo cha pesa