christina sabbas
Member
- Oct 3, 2016
- 74
- 23
Hatutoi kwa wafanya biasharawafanyabiashara vp
vip kuhusu wafanyakazi wa makampuni binafsiHatutoi kwa wafanya biashara
Wewe nitakupa loan wewe Na italipa Dogo dogo bila riba bhana!!Kwa aliyemkoan je
Acha kuaribu kazi za watu tafadhali, wewe ulitaka mkopo lini ukaambiwa tukutane uchochoroni?? Nimesema kabisa office ipo posta sasa nitakupelekaje uchochoroniKuna jamaa alikuja hapa na thread ya hawa hawa african capital,dont try it ni matapeli hata ukitaka kufika ofisini kwao watakwambia tukutane uchochoroni