Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Habarini, ipo hivi kuna demu nimeachana nae kama miezi miwili sasa, nimekua nilipatwa na Balaa na matatizo kila kukicha mpaka najiuliza ameniroga au nini?
Niliachana nae sababu kuu ilikua akinilalamikia mambo kadhaa kama kutokujibu message nilikua namfokea saa zingine namwambia maneno ya chuki kama vile kumwita "malaya" baadae akaja kunikaushia kusemesha akasema simpendi ni bora kila mmoja aende na mambo yake.
Nilimpenda ila sikua na njia nyingine ukizingatia nilikua na kidem kiingine cha kutulia nacho nikamuitikia tukaachna.
Nipeni ushauri nifanyaje? Au nirudiane nae?