Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Tuliachana wote naona mabalaa yananipataUnarudiana nae na amekuacha..yeye ndio anatakiwa ajiulize hivo sio wewe [emoji23]
Nakuona mzungu poriizi ndo akili za Waafrikaa.
Uafrika ni laana.
Tuliachana wote naona mabalaa yananipata
Majanga mengi yananitokea kuanzia kupoteza laptop, kutapeliwa hela, kugombana na marafiki, gari kuzingua, n. KStori ya iyo mikosi iko wapi kiongozi?
Khaa! Umri wako miaka mingapi?Habarini, ipo hivi kuna demu nimeachana nae kama miezi miwili sasa, nimekua nilipatwa na Balaa na matatizo kila kukicha mpaka najiuliza ameniroga au nini? Niliachana nae sababu kuu ilikua akinilalamikia mambo kadhaa kama kutokujibu message nilikua namfokea saa zingine namwambia maneno ya chuki kama vile kumwita "malaya" baadae akaja kunikaushia kusemesha akasema simpendi ni bora kila mmoja aende na mambo yake, nilimpenda ila sikua na njia nyingine ukizingatia nilikua na kidem kiingine cha kutulia nacho nikamuitikia tukaachna
Nipeni ushauri nifanyaje? Au nirudiane nae??
Sawa ila mbona matatizo ndio yaniandame tangu niachane nae? Miaka yetu miwili matatizo kama haya sijawahi kuyapataUlichopata au unachopata huitwa 'negative wave'
Hii negative wave haitokani na kuachana na mtu Ila inatokana na attention au muitukio wa yale yanayokupata , ukosefu wa kufanya detachment huweza kupelekea kutiririka Kwa '
negative emotions wave '
So ushauri mdogo huu hapa 👎🏽
Just Practice more gratitude and detachment.
Energy au nishati huwa ina-flow sehemu yenye attention either iwe positive or negative
Umewahi kuambiwa fumba macho tuombe ?
Nitarudi hapa .
25Khaa! Umri wako miaka mingapi?
Hio sio mikosi kiongozi, hayo mengi yanatokana na uzembe wako tu.Majanga mengi yananitokea kuanzia kupoteza laptop, kutapeliwa hela, kugombana na marafiki, gari kuzingua, n. K
Majanga mengi yananitokea kuanzia kupoteza laptop, kutapeliwa hela, kugombana na marafiki, gari kuzingua, n. KKama yapi hayo mabalaa ?
Dogo acha kuchezea hela za Baba yako utakuja kujuta ubapoteza fursa muhimu.
Bro mbona sikuyapata miaka yote miwili nikiwa naeHio sio mikosi kiongozi, hayo mengi yanatokana na uzembe wako tu.
Kiaje bro niambieDogo acha kuchezea hela za Baba yako utakuja kujuta ubapoteza fursa muhimu.