Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
- Thread starter
-
- #21
AiseeeeKuna laana inatred pale athletico Madrid.
Ni kwamba ikitokea mechi SAULI akafunga goli lolote,
Basi iyo mechi athletico hawatopoteza mechi mpk dkk 90 ziishe.
NDO MAANA ata juzi Costa alipokosa penalties, alipewa SAULI mwenye kismati chake.
Pia game ya athletico na Liverpool, Goli la SAULI liliamua matokeo licha ya Liverpool kuupiga mwingi.
Fuatilia mechi zote za athletico ambazo SAULI alipata kufunga Goli, Hakuna hata mechi Moja waliyopoteza ATHLETICO.
Ndo maana gemu ngumu zote, hata jamaa awe majeruhi vipi watamwomba acheze.
Vipi bado anafanya vizuri au anasugua ubao?Tammy Abraham anafanya vizuri tu apo Chelsea
Goli nne - mechi nne ..sio mbaya
Yeye ata ondoa iyo gundu ya namba 9 apo darajani..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Laana ilishamla zamaniiVipi bado anafanya vizuri au anasugua ubao?
Kwani ameenda mechi ngapi mkuu Hadi tuseme ni laanaMagu kila alipokuwa anaenda kwenye mechi ya simba lazima simba wapigwe!!
Wanavosemaga wenyewe simba eti
Kwa sasa anasugua benchi mkuu.Vipi bado anafanya vizuri au anasugua ubao?