Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Ni kweli sisi ni wamiliki wa mawazo yetu ?
Maisha yetu Yamekuwa kama redio tunakamata Mawimbi ya vitu tunavyoendana navyo au kufanana jinsi tulivyo.
Picha, Fikra, maneno hata mawazo ya wengine Yamekuwa sehemu ya uundaji wa mawazo yetu.
Tunafikiri kulingana na vile tunavyojihisi.
Picha, maneno au sauti za nje zitaachaje kuathri unavojiskia.
Kama ni hivyo signo hizo zinatosha kuathri na kuingilia namna ya kufikiri kwako.
Kwa muda mrefu Dunia imekuwa ikilazimisha watu kutumia Logic na facts kuliko Imagination na kuamrisha iwe ndio Njia aminika ya kufikiri.
Imagination hizo ndio kiongozi wa hatima zetu.
Mana hakuna utakalo Anza bila kufika mwisho na kupiga picha liko vipi.
Imagination ni sawa na imani... Yaani kuamini itakuwa kabla haijawa.
Wanachotaka ni sisi tuondokane na njia hiyo na wakati ndiyo njia halisi ambayo hata wao wanatumia huku wakizuga na kuikandia.
Kwanini Wanapinga ?
Wanasema ni kweli zisizo onekana. Na hapa ndipo msingi wa Atheist ulipoanza kwa upande mmoja.
Kila jambo ukiliweka ubaoni utaskia Logic iko wapi ?
Soma maandiko Yao kwa makini mana hata grammar inatii codes(siri) walizounda ili kuhadaa uelewa wako.
Unaweza kuongeza uelewa wako kwa kuyakagua maneno unayotumia.
Sio ajabu 90% ya maneno unayotumia ukashindwa kuyaelezea.
Kuna lundo la upotoshaji katika maana ya maandiko tofauti.
Chanzo cha weza kuwa
1.Makosa ya tafsiri.
2.Matumizi ya maneno yasiyo sahihi.
Moja ya maandiko yanayo wavuruga watu ni Biblia.
Ukweli mwingi umefichwa nyuma ya tafsiri mbaya.
Na wengi tumeganda katika njia zile zile walizo naswa babu zetu ila anapotokea mtu kutufumbua macho wooote tunamgeukia na kumuona ndio adui.
Kwann Wengi tumeganda na dini maarufu duniani ?
Ukielewa kilichopo nyuma ya mafundisho Yao na maandiko Yao kwa Fikra zako kamili huwezi bakia hapo.
Jua unachotakiwa kujua kabla ya kujikabidhi.
Timiza wajibu wako ndugu na usiwe wa kulalama tu.
Giza na mwana ni makundi tofauti yanayokuwa kila moja kwa mwendo wake. Usipobadilika jiandae kuwa mkazi wa Kudumu.
Upya wako huja pale tu namna ulivyozoea kufikiri kuangukia mazima.
Moja ya FUNGUO za mitego siri:
1. Elewa wazo au dhana iliyopo katika kila neno.
2.Lina maana gani kwako.
3.Maneno hayo ya naingilia a vipi na maisha yako.
Dhana, Mahusiano na mwisho maana ziwe ni sehemu ya funguo za Codes walizofunga katika maneno na Jumbe zao katika maandishi na matamshi.
Welcome To The System and everybody is a victim.