Jimbo la MIKUMI kata za Ruaha, Ruhembe, kidodi,Tindiga, Mabwerebwere, Masanze, Zombo mpaka sasa hivi saa 4 na robo karatasi za kupigia kura bado hazijafika na vituo havijafunguliwa, kata za Kilangali, Ulaya Na Mhenda uchaguzi umesimama eti karatasi zimekwisha haya si maajabu?