Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hii tabia ya kujichukulia sheria mkononi mnawaumiza wananchi.
Acha ujinga na roho mbaya mbona harusi mnachangia?Si elimu bila malipo! Uhamasishaji unatokana na nini?
Mwl.Mkuu namfahamu vizuri,na hiyo Shule ina wanafunzi 800. Lakini Walimu wapo 7 tu, Shule nzima.Ufafanuzi tafadhali ameitelekeza miaka sita alipewa kama ya kwake binafsi au ilikuwaje?
Mwl.Mkuu namfahamu vizuri,na hiyo Shule ina wanafunzi 800. Lakini Walimu wapo 7 tu, Shule nzima.
Kila tukimwambia mwl mkuu kuhusu upungufu wa Walimu anasema alishwamnoa Afisa elimu mkoa,lakini anajibiwa najeti ya kuomgeza elimu haipo,Sasa kosa lake ni lipi?
Tutachangia kama mkituambia elimu ni ya kulipiaAcha ujinga na roho mbaya mbona harusi mnachangia?
Hiyo ndiyo faida ya UCHUMI wa Kati nampongeza Sana mkuu WA mkoa na chama Chetu CCMHii tabia ya kujichukulia sheria mkononi mnawaumiza wananchi.
Sheria za kikoloni hizo zimepitwa na wakati.Mkuu wa Mkoa ana mamlaka ya kumuweka mtu yeyote ndani.
Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Tawala za Mikoa (The Regional Administrative Act).
Kwa hiyo hapa RC hajajichukulia sheria mkononi bali ametekeleza sheria.
Labda ungehoji uhalali wa sheria aliyoitumia, na kama hicho kifungu kinafaa kuendelea kuwepo.
Pia kuna sheria inampa mamlaka rais kuadhibu kijiji kizima. Mfano Kama watu wa Kijiji husika au mtaa wanahisiwa kumficha mhalifu, basi watapewa adhabu wote mpaka wataje
Sheria za kikoloni hizo zimepitwa na wakati.