Funa the Wild
Senior Member
- Aug 1, 2022
- 167
- 282
Kampuni kubwa ila inatumia Wildlifeafrica01@gmail.com,huu sio wizi kweli!?cha kushanga emaililiyopo kwa bango iko njemaView attachment 2818763
MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS
(2 DAYS | 1 NIGHT)
*TAREHE 16-17th December 2023
GHARAMA, 155,000/=
SAFARI ITAANZIA DAR
ITAHUSISHA
-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner)
-Kiingilio
-Muongoza watalii
-Tozo za Serikali
SHUGHULI
- Kupanda mlima Uluguru
- Kuogelea
- Kuona wanyama
- Kupiga picha
- Shughuli nyinginezo
For Booking
+255622174613 /+255753651935
Wildlifeafrica01@gmail.com
Suspicious number 1Kampuni kubwa ila inatumia Wildlifeafrica01@gmail.com,huu sio wizi kweli!?cha kushanga emaililiyopo kwa bango iko njema
KaribuMsikwame kwenda ku enjoy
Karibu sanaWana jf twendeni tukatalii😋
Asante kwa ilo mkuu🙏, Kumradhi ni makosa ya uandishi hatuna dhamira mbaya @wildlifeafricasafaris01gmail.com.Kampuni kubwa ila inatumia Wildlifeafrica01@gmail.com,huu sio wizi kweli!?cha kushanga emaililiyopo kwa bango iko njema
Kutakuwa na michezo mbalimbali 😀😀Hizo shughuli nyinginezo ni zipi, naomba kufafanuliwa!😁
Hilo mbalimbali ndio inaongeza swali😅 ila sawa nishakuelewa!Kutakuwa na michezo mbalimbali 😀😀
Kumradhi ni typing errorSuspicious number 1
Shukrani sana karibu mkuu🤝😁😁Hilo mbalimbali ndio inaongeza swali😅 ila sawa nishakuelewa!
Twendeni jamani tusiwaachie wazungu kutalii hifadhi zetu.Wana jf twendeni tukatalii😋
Kabisa ngoja niweke kibubu hadi ikifika hiyo tarehe, muamala utakua umekamilikaTwendeni jamani tusiwaachie wazungu kutalii hifadhi zetu.
Hiyo gharama ni rafiki kabisa kwa kila mwana jf.
Naam tusiendelee kubaki nyuma utalii ni wetu sote 👍Twendeni jamani tusiwaachie wazungu kutalii hifadhi zetu.
Hiyo gharama ni rafiki kabisa kwa kila mwana jf.
Karibu sana pia tuna group letu la safari kwa ajili ya kupata updates zaidi, whatsapp, +255622174613Kabisa ngoja niweke kibubu hadi ikifika hiyo tarehe, muamala utakua umekamilika
Poa mkuuKabisa ngoja niweke kibubu hadi ikifika hiyo tarehe, muamala utakua umekamilika
Kampuni kubwa ila inatumia Wildlifeafrica01@gmail.com,huu sio wizi kweli!?cha kushanga emaililiyopo kwa bango iko njema