SawaView attachment 2818763
MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS
(2 DAYS | 1 NIGHT)
*TAREHE 16-17th December 2023
GHARAMA, 155,000/=
SAFARI ITAANZIA DAR
ITAHUSISHA
-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner)
-Kiingilio
-Muongoza watalii
-Tozo za Serikali
SHUGHULI
- Kupanda mlima Uluguru
- Kuogelea
- Kuona wanyama
- Kupiga picha
- Shughuli nyinginezo
For Booking
+255622174613 /+255753651935
wildlifeafricasafaris01@gmail.com
Karibu kwenye group la safari, +255622174613
Kuna tour ya Tarangire usikose🤣😂🤣 sasa muda huo mm si niko na mtoa mada tunaelekea Mikumi?? Hamna jirani atakaye kuwa na taarifa nilipo, maana nitakuwa nmesepa Ijumaa na BM la jioni 😂😂😂😂
Tarangire naonaga pa kawaida sana 😂😂 labda tu ile vibe na wana njianiKuna tour ya Tarangire usikose
Ndio maana yake 80k tu kila kituTarangire naonaga pa kawaida sana 😂😂 labda tu ile vibe na wana njiani
Wana jf twendeni tukatalii😋
Mambo ya royal your sioWana jf twendeni tukatalii😋
Go& return?Ndio maana yake 80k tu kila kitu
Yes na lunch box, viingilio nkGo& return?
Ndiyo mkuu utakuwepo?Mambo ya royal your sio
Mbona cheap sana utatulaza wapi
Tunafanya camping kwa tents (Campsite),Mbona cheap sana utatulaza wapi
Hakuna masharti ya aina yoyoteSisi wenye Wapenzi wetu je si hakuna Masharti ee?
Ngoja tuombe uzima mkuu, wa mikoani tunafanyaje Sasa Mana route inaanzia Dam???Ndiyo mkuu utakuwepo?
Ndio michezo mbalimbali hiyo😂Sisi wenye Wapenzi wetu je si hakuna Masharti ee?
Umejivika cheo cha smart?Asante kwa taarifa
Sijaelewa mbonaUmejivika cheo cha smart?
Kuna member wa jf jina smart huwa anasema...asante kwa taarifa, ndio imetoka hiyoSijaelewa mbona
Ni Jambo jema, Ni kwenda kujifunza Mambo mapya na kuongeza marafikiTutakaoenda tujuane wakuu😋
Aseee mandhari yanavutia Sana hakikaKaribu sana
Tutafanya camping kwa kutumia tents, eneo lina huduma zote muhimu. View attachment 2825543View attachment 2825544