Elections 2010 Mikutano ya CCM Mbona hivi?

The Khoisan

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
16,434
Reaction score
14,547


Hivi mikutano ya CCM bila kuwa mwanachama au T-shirt, kofia au khanga ya kijani na njano hurusiwi kuhudhuria mikutano yao?? Nimefuatilia picha kibao humu ndani lakini tofauti na CHADEMA mikutano ya CCM ni kijani na njano tu. Je hii ina maana kuwa CCM inafanya kampeni kwa wanachama wake tu??
 
Mkuu,
umesahau na maspika.. duh! yaani inatisha, sasa ni kampeni za burudani au ni kampeni za kuelezea sera? I am really confused here..
 
usisahau na wasanii kibao na yeye ndo aliwaahidi kuwapigania hoi!
naipenda ccm ilaaa,,,,,,,, sorry!!
 
Next week atakuwa Songea watu wa uko wajiandae na pamba masikioni
 
Mkuu hizo t-shirt watu wanazigombea!!! Acha kabisa!!
 
sasa hivi ccm hakuna mkutano wakumwaga sera, ni mabo ya KibongoFlava.
 
Hizo nguo zinatolewa bure, na pia pesa ya kuhudhuria mkutano, ndio maana inakuwa hivyo.
 
Kila Tshirt, Kofia, bango, nk unaloona mkutano wa CCM lina maana ya kifo cha mama mjamzito mmoja kufariki kwa kukosa ambulance, mkasi, nurse nk! Naililia nchi yangu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…