J josephkibena Member Joined Jul 14, 2009 Posts 16 Reaction score 1 Aug 9, 2009 #1 Jamani naomba tuongelee hili la shule ya mama RWEKATARE kule Mbagala,mbona hakuna mikutano ya wazazi?,mwanae Rose ameanzisha duka pale na kuuza chocklate watoto wana shuka sana kielimu maana watoto muda wote wanafikiria ice cream na chocklate tu!.
Jamani naomba tuongelee hili la shule ya mama RWEKATARE kule Mbagala,mbona hakuna mikutano ya wazazi?,mwanae Rose ameanzisha duka pale na kuuza chocklate watoto wana shuka sana kielimu maana watoto muda wote wanafikiria ice cream na chocklate tu!.
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,619 Mar 7, 2012 #2 Hivi izo shule zipo?