Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Haruhusiwi kutoa amri inayovunja katiba.Vimezuliwa kwa Amri halali ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia Mwenyekiti wa Chama Tawala.
Magaidi hawatumii sheria. JiongezeWadau NCHI yetu inaongozwa kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo japo kuna Ukiukwaji Mkubwa wa KATIBA Unafanyika na Wenye KINGA Zao.
VYAMA vya SIASA vipo kwa Mujibu wa KATIBA na Shughuli zao zimeainishwa kwa Mujibu wa KATIBA
Toka AWAMU ya 5 imeingia Madarakani IMEVIZUIA VYAMA vya UPINZANI TU kufanya MIKUTANO ya HADHARA na ya NDANI Zuio ambalo Halikuwepo katika AWAMU zilizopita
Najiuliza je ni Kwa SHERIA IPI ndani ya KATIBA iliyovizuia VYAMA vya UPINZANI TU Kufanya MIKUTANO lakini IKARUHUSU CCM ifanye MIKUTANO?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Aliapa kuilinda sio kujilindašHaruhusiwi kutoa amri inayovunja katiba.
Kwa Sheria ya PGOVimezuliwa kwa Amri halali ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia Mwenyekiti wa Chama Tawala.
Nenda kituo chochote cha polisi kilicho karibu yako ukahoji,asante!!Wadau nchi yetu inaongozwa kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo japo kuna Ukiukwaji Mkubwa wa KATIBA Unafanyika na Wenye KINGA Zao.
VYAMA vya SIASA vipo kwa Mujibu wa KATIBA na Shughuli zao zimeainishwa kwa Mujibu wa KATIBA
Toka AWAMU ya 5 imeingia Madarakani IMEVIZUIA VYAMA vya UPINZANI TU kufanya MIKUTANO ya HADHARA na ya NDANI Zuio ambalo Halikuwepo katika AWAMU zilizopita
Najiuliza ni Kwa Sheria ipi ndani ya KATIBA iliyovizuia VYAMA vya UPINZANI TU Kufanya MIKUTANO lakini IKARUHUSU CCM ifanye MIKUTANO?
Umekurupuka mkuu soma vizuri punguza haraka Sheria ipi ya KATIBA ?Vimezuliwa kwa Amri halali ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia Mwenyekiti wa Chama Tawala.
Majibu yako ni kipimo HALALI za Udogo wa Uelewa wakoNenda kituo chochote cha polisi kilicho karibu yako ukahoji,asante!!
Hakujibu kabisa hilo swali. Na hakuna mwingine yeyote aliyewahi kumuuliza hilo swali. Pongezi kwake Pascal Mayala.Wakati ule pascal alipomuuliza Mwendazake ni sheria ipi anayotumia kuzuia mikutano hiyo alichojibiwa ni kuwa ana njaa