Latifaa JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 501 Reaction score 258 Jun 26, 2014 #1 kila mara huwa naalikwa kwenye hiyo mikutano ya wajasiria mali nasijawahi kwenda hata mmoja huwa nadharaugi tuu jamani waliowahi kwenda naombeni mnijuze huwa kuna jipya au ni blabla tuu za watu kutafuta hela?
kila mara huwa naalikwa kwenye hiyo mikutano ya wajasiria mali nasijawahi kwenda hata mmoja huwa nadharaugi tuu jamani waliowahi kwenda naombeni mnijuze huwa kuna jipya au ni blabla tuu za watu kutafuta hela?
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,340 Reaction score 4,734 Jun 26, 2014 #2 teheeee teheee.. kama unamaanisha mikutano ya forever living na GNLD, ni story tu za uongo na kweli.. mwisho wa siku utaombwa kiingilio elf 50000
teheeee teheee.. kama unamaanisha mikutano ya forever living na GNLD, ni story tu za uongo na kweli.. mwisho wa siku utaombwa kiingilio elf 50000