Mikutano ya Wapinzani huwa inamsaidia zaidi Rais aliyeko madarakani kuliko kumdhoofisha, inampunguzia kudanganywa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Binafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue

Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la baadhi ya Changamoto

Ruhusuni mtanishukuru baadae
 
Wanaogopa kupotezwa kisiasa!wanawazuia ili kupoza joto la maumivu ya uchaguzi wa 2020!

Hawawezi ruhusu mikutano hawana watu wa kujibu hoja!kinachosubiriwa ni vyama vyote vife baada ya Katiba kupatikana!!

"Rasimu ya WARIOBA irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
 
Hakuna mpinzani wa kushindana kwa hoja na Komredi Kinana
 
Binafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue

Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la baadhi ya Changamoto

Ruhusuni mtanishukuru baadae
Uko sahihi.
 
Mikutano ya hadhara ni muhimu sana kwa Samia kujisahihisha.

Asitegemee Chawa wabobezi ambao wamficha hali halisi.

Sisi hatuna "Bifu" nae tulikuwa na Bifu na yule Ibilisi.
 
Binafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue

Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la baadhi ya Changamoto

Ruhusuni mtanishukuru baadae
Siku nyingine akili zako zinarudi , siku nyingine zinapotelea baharini
 
Back
Top Bottom