johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tozo Zimeletwa na Zungu wa Simba SCJo vizuri kama umeona umuhimu wa wapinzani,au baada ya tozo kunyooshwa🤣
Hakuna mpinzani wa kushindana kwa hoja na Komredi KinanaWanaogopa kupotezwa kisiasa!wanawazuia ili kupoza joto la maumivu ya uchaguzi wa 2020!
Hawawezi ruhusu mikutano hawana watu wa kujibu hoja!kinachosubiriwa ni vyama vyote vife baada ya Katiba kupatikana!!
"Rasimu ya WARIOBA irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
Uko sahihi.Binafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue
Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la baadhi ya Changamoto
Ruhusuni mtanishukuru baadae
Siku nyingine akili zako zinarudi , siku nyingine zinapotelea bahariniBinafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue
Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la baadhi ya Changamoto
Ruhusuni mtanishukuru baadae