Jamii tunayoishi imekuwa na mambo mengi ya kustaajabisha ambayo ukikaa kuyatafakari Kwa undani yanatokana na mambo ya kimila, watu wamekuwa wakiishi Kwa mateso wakijua hayo ndio maisha Yao kumbe ni Mila gandamizi, mfano huku kwetu Kusini kumekuwa na Mila za kupeleka watoto wadogo umri wa miaka mitano hadi sita na kuendelea katika jando na unyago na mambo wanayofundishwa huko ni makubwa mno tofauti na umri wao ambapo upelekea wengi wakitoka katika mafunzo hayo waanze kufanya vitendo vibaya vinavyopelekea wasipende shule.
Lakini pia Jamii hii inakabiliwa na suala la mimba za utotoni ambapo Kwa ukosefu wa elimu wazazi wanaona ili kuzikinga mimba kwa watoto wa kike basi njia pekee ni kuwaweka vipandiki ,sindano na vidonge yani tunaona ni halali kabisa huku kwetu sababu hatuna elimu ya madhara ya hivi vitu .
Serikali na taasisi mbalimbali wangetembelea ukanda huu kupitia changamoto zinazokabili Jamii hii hakika inagandamiza sana taifa la kesho Kwa Mila hizi.

Upvote
0