holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Kuna mila na desturi za kiafrika ambazo zingeendelea kuwepo tungekuwa na idendity ya yetu kipekee sana katika bara letu na duniani kwa ujumla,
Tamaduni kama vile uvaaji wa nguo za heshima kwa jinsia zote,namna ya kuabudu,vyakula,mambo ya ndoa, nk.
Mila hizi zingekuwa zinatuingizia fedha za kigeni kila uchwao,lakini kutokana na waafrika kukosa muelekeo,tumeiga kila kitu cha mzungu hata kama hakifai ktk jamii.
Uvaaji wa nguo fupi,ulaji wa vyakula,dini, ushoga,mapenzi ya jinsia moja,yote tumeiga eti kuendana na maendeleo ya ulimwengu
Wakuu,unahisi nini kifanyike kurejesha tamaduni zile nzuri za kale?
Karibuni