Suleiman 1988
Senior Member
- Mar 27, 2026
- 126
- 244
📌🔨Usiangaike sana.
Ukiskia mtu wa CCM anaongelea kuhusu mila na desturi ujue anamaanisha ukondoo wa mtanzania kutokuhoji na kumkosoa kiongozi hata pale ambapo kiongozi anaonesha kwenda kinyume na katiba na sheria.
Kwa kifupi ni ile hali ya mtanzania kuitikia ndio kwa kila jambo analoambiwa na mkubwa au kiongozi wake.
Hizo ndio mila na desturi ambazo ma CCM yanamaanisha.
Hakika, ninachofahamu mila na desturi ziko katika level ya makabila na dini, inapofika kwenye level ya taifa hasa lenye makabila mengi mbalimbali na dini nyingi mchanganyiko ambapo hakuna kundi kubwa lenye ku dominate wengine haiwezekani kuwa na mila na desturi za kwa pamoja kama taifa.Ukweli ni kwamba hazijulikani kwa uhakika na hata zingejulikana, kutetea kitu kwa hoja ya "mila na utamaduni" ni logical fallacy ya "argument from tradition".
Hii habari ya "mila na utamaduni" ni chaka la watu, hususana wanasiasa wahafidhina, kupitisha mambo yao bila kuhojiwa sana.
Vinginevyo nchi yenye katiba na sheria ambazo zimeandikwa iweke vitu muhimu vyote kikatiba na kisheria, mambo ya mila na utamaduni tuyaache yawe kwenye masomo kama ya historia, anthroplolojia na sosholojia.
Sahihi kabisa na mara nyingi hutumika kama rhetorical tool, wanasiasa hupenda kuitumia kama shield ya kuzuia scrutiny.Ukweli ni kwamba hazijulikani kwa uhakika na hata zingejulikana, kutetea kitu kwa hoja ya "mila na utamaduni" ni logical fallacy ya "argument from tradition".
Hii habari ya "mila na utamaduni" ni chaka la watu, hususana wanasiasa wahafidhina, kupitisha mambo yao bila kuhojiwa sana.
Vinginevyo nchi yenye katiba na sheria ambazo zimeandikwa iweke vitu muhimu vyote kikatiba na kisheria, mambo ya mila na utamaduni tuyaache yawe kwenye masomo kama ya historia, anthroplolojia na sosholojia.
Nadhani mama haelewi nyakatiUkiwauzila tu umetoka kwenye misingi ya mila na desturi.
Sijui , nimeropoka tu,nipo ulevini.Haya mambo yanafanyika katika mataifa yote na jamii zote duniani wala sio mahususi (unique) kwa Tanzania.
Ni kweli.Sahihi kabisa na mara nyingi hutumika kama rhetorical tool, wanasiasa hupenda kuitumia kama shield ya kuzuia scrutiny.
Badala ya kusema clearly 'hii ni policy kwa sababu A, B, C' unakuta inafunikwa na 'hii ni mila yetu' which sometimes shuts down critical thinking.
Jambo ambalo ni contradiction pia kwa sababu mila na desturi sio mambo ya kulazimishana bali watu wanafuata kwa hiyari yao tu, ina maana ukishalazimisha jambo lifuatwe hiyo inakuwa sio mila na desturi tena bali sheria.Sahihi kabisa na mara nyingi hutumika kama rhetorical tool, wanasiasa hupenda kuitumia kama shield ya kuzuia scrutiny.
Badala ya kusema clearly 'hii ni policy kwa sababu A, B, C' unakuta inafunikwa na 'hii ni mila yetu' which sometimes shuts down critical thinking.
Hakika, unajua validity ya kitu inapaswa kupimwa kwa matokeo yake, reason yake, na context yake ya sasa.Ni kweli.
Halafu kitu kuwa mila na desturi haina maana ni kizuri, kuna mila na desturi nyingi mbaya na za kijinga.
Kwa hiyo, hata kama kitu ni mila na desturi yetu kweli, inabidi utuambie uzuri wake zaidi ya kuwa mila na desturi tu, kwa sababu kitu kuwa mila na desturi haimaanishi ni kizuri.
Inawezekana kabisa katika jambo fulani, kile kitu cha mila na desturi yetu ni cha kijinga na kimepitwa na wakati, na kitu cha kigeni ndicho kitatufaa.
Hivi mtu anaweza kukataa utamaduni wa kuweka rekodi kwa kuandika, au kutumia teknolojia mpya inayosaidia, kwa sababu tu si mila na utamaduni wetu?
Si tutadumaa kimaendeleo hapo?
Ukishaelewa hili, utajua suala la "mila na utamaduni" si hoja ya kimantiki, ni "argument from tradition" logical fallacy.
Zitaje platinumKila taifa lina mila, desturi na tunu zake.
umetumia takwimu gani kutoa hii hoja mr. mnyamaUlozi ni moja ya mila zetu. Tanzania inaongoza kwa imani za kishirikina Afrika.
Hakika, wameamua kutumia kwa manufaa yao wenyewe.Jambo ambalo ni contradiction pia kwa sababu mila na desturi sio mambo ya kulazimishana bali watu wanafuata kwa hiyari yao tu, ina maana ukishalazimisha jambo lifuatwe hiyo inakuwa sio mila na desturi tena bali sheria.
Zitaje platinum
Sawa asanteNenda Scandinavian regions, Denmark, Norway, Sweden and Finland, wao ustaarabu "High civilization" sio tuu ni tunu yao, bali ni cultural space. Ukiishi pale utajifunza ustaarabu kama namna ya kuishi kwako mitaa ile, usipokuwa mstaarabu kule watakushangaa. Hutaendana nao.
Ustaarabu ni tunu "core value" na ni desturi pia "a way of living".
Desturi ni vile vitu taifa au jamii yake huviishi na kuvithithisha kizazi na kizazi. Sasa desturi zipo mbaya na nzuri.
Mila na desturi za Tanzania ni zipi?
Nitajie mbili tu.
Nimekuambia nitajie mila na desturi za Tanzania. Heshima kwa wakubwa, kusalimiana na kupeana vitu ni mambo ya dunia nzima(universal), sio Tanzania tu.Mila na desturi kwa Tanzania zipi nyingi.
Mila na desturi zipi mbaya na nzuri, nitakutajia nzuri;
Heshima kubwa kwa wazee/watu waliotuzidi umri. Hii ni kwa watu wote ni mila yetu.
Kula kwa kutumia mkono wa kulia, kusalimia, kupeana vitu n.k