Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habari Wadau,

Hii mila ya wanaume kuwatongoza wamawake imepitwa na wakati.

Yaani unakuta dada anakufuata bra bra kibao, mara simu yangu inasumbua narekebishie, mara nimekufananisha mara hivi mara vile hadi mwanaume ajiongeze mmmh!

We ukiona kaka umempenda mfuate mueleze ukweli muombe namba kama unaona aibu kumwambia hapo hapo wanaume tuna mambo mengi sana.
 
namuunga mkono kwa hoja hii
 
 
Kutongozwa huwa ipo Sana Mwanamke anakuambia anakupenda anataka mfanye maisha

Ila hii huwapata wanaume ambao wameamua kujiweka wao mbele kwanza na sio kuwaweka wanawake mbele.

Ukiwa MTU wa kuwaweka wanawake mbele basi utakuwa unafatwa na low value women ,rejected, dumped n.k

Set standard don't be cheap
 
akinitongoza ntakubali kimoyomoyo ila sintamwambia hapohapo ntamwambia nipe mda nimfikirie ombi lake halafu baada ya mda ntamwambia nimeishiwa na kodi ya chumba miezi sita inatakiwa na jiko gesi limekata nifanyie mpango my wangu
 
 

Attachments

  • Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    15.4 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…