a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
Nilipokuwa mdogo kiroho miaka 10 iliyopita,nilikuwa nikishiriki mila za jadi zilizohusisha kutambikia mizimu na kuomba kwa mizimu na kupekela sadaka kwa mizimu.
Sadaka kwa mizimu zilikuwa ni mnyama wa kuchinja kuku,mbuzi,kondoo n.k chochote cha kuchinja damu imwagike
Pombe ya kienyeji mbege. Ilihusisha pia kuomba kusemesha mizimu ya mababu makaburini migombani kuiomba na kuiombea.
Pamoja na ibada hizi za jadi bado pia nilikuwa nasali kanisani(mchanganyo) na niliaminishwa NILIDANGANYWA mila za jadi siyo dhambi kwamba hata wazungu waliotuletea dini nao wana mila zao na mila za jadi na wanziheshimu na kuzifuata ,kwamba mila za jadi ni kitu kizuri..na kwamba eti hata dini hazikatazi hata baadhi characters wa biblia au wayahudi hawakuacha mila zao za jadi pamoja na dini kwamba eti walikuwa wana mix na mila zao za jadi.
Nguvu ya mizimu niliyoishuhudia kwa ndugu zangu wajomba zangu
1. shuhuda wa kwanza...kuna ndugu mmoja aliacha kuja nyumbani kufanya hizi mila za jadi aliharibikiwa na biashara zake akafilisika from hero to zero..
Akaambiwa tatizo limetokana na yeye kuacha kuja kufanya mila mizimu iliokuwa inamsaidia hivyo mizimu ya ukoo imekasirika ndio maana anafeli katika mambo shughuli zake na bila kuweka sawa mambo ya mila za jadi hatatoboa,ikambidi arudi mgombani kuweka mambo sawa baada ya hapo akaanza kurudi kwenye ramani mambo yake yakaanza mnyookea shughuli zake biashara zake zikarudi kwenye peak..zikafunguka
nawaelewa ndugu zangu wanaorudi mwisho wa mwaka kwenda kufanya mila wanalazimika kufanya hivyo naelewa.
UKWELI KUHUSU IBADA ZA MILA ZA JADI/MIZIMU.
Ni roho za kuzimu za malaika waasi/majini ya ukoo, pamoja na shetani hata mafanikio utakayoyapata ya kimwili hata kama utachanganya na kusali kanisani na mila za jadi..
kuwa na michanganyo mila na dini ..kuwa vuguvugu,Mungu atakutapika huwezi kuchanganya meza moja shetani na Mungu.
lakini kiroho wewe utahesabika umeuza roho yako na kuweka mikataba ya kudumu na shetani,majini/mizimu,kuzimu kupitia ibada za mila za jadi/kuomba mizimu/kuombea wafu.ibada za wafu kutambika.,dadaka)kafara za kuchinja pombe na nyingine zote ibada ya mayambiko ibada na maagano na kuzimu.
Madhara yapo ni kuwa chini ya vifungo vya kiroho maagano na kuzimu inayofuatilia hadi vizazi vyako hadi kizazi cha nne miaka 400 mbeleni ijayo.
Madhara ya hivyo vifungo ni kuwa chini kumilikiwa na mamlaka ya kuzimu/mizimu/ibada ya kipagani au umeuza roho yako na familia yako kwa shetani kwa kujua au kutokujua,shetani hana cha bure kuna sadaka atakuwa anachukua kutoka kwako ikiwemo hizo za kuchinja na wanyama ila nyingine katika wewe na kizazi chako atajichukulia sadaka kwa ukoo wako familia yako..ya damu n.k
unakuwa chini ya utawala wa shetani.SHETANI hakupi kitu buree.Kazi ya shetani ni uharibifu,ni kudanganya watu ,kuchinja kuiba kuua,kuharibu maisha ya wanadamu,kuwaingiza katika vifungo vingine vya dhambi ili kuzidi kuwatenga Mungu.
NI VIZURI KUTAMBUA.
UKishiriki kunywa mbege au kula nyama kisusio ya tambiko iliyochinjwa na ikanenewa maneno fulani ya kimila za jadi ..wote walioshiriki waliokula chakula na kunywa pombe mbege au togwa vinywaji nao pia wameshiriki hiyo ibada
Hata waliochanga pesa kununua hiyo mnyama mbuzi au kondoo au ngombe wa kuchinja hata kama ulichangia 1000 kama mwanaukoo tayari umeunganishwa katika hiyo ibada ya mila za jadi.
Pia unaweza kuunganishwa kupitia wazazi wako hata kama wewe hujashiriki ila wazazi wako walipokuwa wanafanya mila za jadi walikuunganisha na uzao wao ambao ni wewe bila kujua pengine hata kabla hujazaliwa.

Attachments
-
images - 2024-12-20T234143.515.jpeg38.9 KB · Views: 10 -
images - 2024-12-20T234627.754.jpeg81.7 KB · Views: 10 -
images - 2024-12-20T234453.709.jpeg55.7 KB · Views: 10 -
images - 2024-12-20T234438.818.jpeg35.8 KB · Views: 7 -
images - 2024-12-25T012445.452.jpeg11.6 KB · Views: 8 -
images - 2024-12-25T012436.092.jpeg76 KB · Views: 8 -
images - 2024-12-25T012413.021.jpeg42.3 KB · Views: 7 -
images - 2024-12-25T012310.296.jpeg53 KB · Views: 8 -
images - 2024-12-25T012120.137.jpeg30.6 KB · Views: 8 -
images - 2024-12-25T012001.777.jpeg35.8 KB · Views: 10 -
images - 2024-12-25T011905.004.jpeg38.4 KB · Views: 8