Mila za wafu kuzungumza kupitia watu walio hai zipo makabila gani?

Mila za wafu kuzungumza kupitia watu walio hai zipo makabila gani?

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,407
Katika kabila la wahaya kuna mila inaitwa "nchweke" ambayo marehemu huzungumza kupitia watu walio hai.

Je ni kabila gani unalolifahamu lenye mila kama hii
 
Hio ni michezo ya shetani. Mtu akishakufa mwili uoza, nafsi na roho yake uenda mahali kulingana na matendo yake.Na Hakuna muunganiko tena Kati ya wafu na walio hai.
 
Katika kabila la wahaya kuna mila inaitwa "nchweke" ambayo marehemu huzungumza kupitia watu walio hai.

Je ni kabila gani unalolifahamu lenye mila kama hii
Ipo Kwa Kila mshirikina,usiangalie kabila mkuu huo ni uchafuzi.
 
Seance. Siyo tabia ya kabila lolote. Ni innate ability ya watu wengine,in fact,innate ability ya kila mtu kuwa medium na kuwa 'simu' ya watu waliokufa.
 
Back
Top Bottom