Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Unamuacha wife kwa wazazi wako ili ukazichange shilingi, unakaa miaka miwili ughaibuni, unarudi home unakuta mke wako ana mtoto, kazaa na baba yako mzazi.
- Umeenda kuhemea chakula cha familia, umehangaika kutwa nzima, unarudi home unakuta mkuki umechomekwa nje, jamaa anajichapia mkeo,hajaleta hata mboga.