Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ukiacha wamasai na wachaga mpo hivi
- Unamuacha wife kwa wazazi wako ili ukazichange shilingi, unakaa miaka miwili ughaibuni, unarudi home unakuta mke wako ana mtoto, kazaa na baba yako mzazi.
- Umeenda kuhemea chakula cha familia, umehangaika kutwa nzima, unarudi home unakuta mkuki umechomekwa nje, jamaa anajichapia mkeo,hajaleta hata mboga.
Kuna dogo amelambwa fimbo 50 majuzi kwa kosa la kutaka kumfukuza mkewe baada ya kumkuta ni mjamzito. Dogo kapiga mishe mjini kama mwaka hivi, siku aliporudi kijijin akakuta wife wake ana mimba ya miezi kadhaa. Dogo kaanzisha timbwili, binti akashitaki kwa wazee. Dogo kawekwa kiti moto, akalambwa bakora na akatoa fine ya ng'ombe watu wale. Alirudi mjini analaani kuoa.Ukiacha wamasai na wachaga mpo hivi
Mtoto wa babako kwa mkeo anakuwa ni nani yako?
- Unamuacha wife kwa wazazi wako ili ukazichange shilingi, unakaa miaka miwili ughaibuni, unarudi home unakuta mke wako ana mtoto, kazaa na baba yako mzazi.
- Umeenda kuhemea chakula cha familia, umehangaika kutwa nzima, unarudi home unakuta mkuki umechomekwa nje, jamaa anajichapia mkeo,hajaleta hata mboga.
Kwa hiyo mkuu umegoma kabisa huwezi kuchapwa.[emoji23][emoji23]Ukisikia kukosana na ukoo ndo hapo.. Amna wa kunichapa na mke nawaachia
Hapo Sasa...kizeeembe hivyo😬We wanakuchapia mke km haitoshi wakuchape na fimbo
Utaoa KigomaHuku sio wanawake wakuoa ni wachache sana hao wakuuzia sura na kupigapiga tu siku ziende...
Ukitaka kuoa kanda hiyo lazima ujipange kweli kweli na stress..
Demu anakula ndumu, demu anakula dabo Kiki, demu anakutambulisha kwa mabwana zake, demu anafanya mazoezi ya kuchoma watu visu. Hatari sanaHuku sio wanawake wakuoa ni wachache sana hao wakuuzia sura na kupigapiga tu siku ziende...
Ukitaka kuoa kanda hiyo lazima ujipange kweli kweli na stress..
Waha kwa ubishi, duh, hatutawezanaUtaoa Kigoma