Milambo high school students mpoo!!!

Milambo high school students mpoo!!!

Mwaka 1986, HGL.
Namkumbuka FUPA na KYARA
Nawakumbuka Wabiks na Wakorea
 
nakumbuka ukiwaita milambo boys wanakuharbu walitaka kuitwa milambo men.
pia nakumbuka cku tabora girl walvomwagiwa kinyesi na milambo ucku.
 
Mwaka 1986, HGL.
Namkumbuka FUPA na KYARA
Nawakumbuka Wabiks na Wakorea
Hivi unajua kirefu cha BIKS? Nimemkumbuka Biteyamanga Masudi ndiye mwanzilishi wa hili Jina. kirefu chake ni Bukoba international kenge supply. Nadhani umenielewa vizuri. Hivi students center bado ipo? Enzi hizo Tabora girls wanaitwa warsaw (woso)
 
Back
Top Bottom