S shuhudia lihemla Member Joined Jul 12, 2014 Posts 61 Reaction score 17 Sep 4, 2015 #1 Sema umemaliza mwaka gani na mchepuo gani. Vipi unakumbuka nini pale.
B Baija Bolobi JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 1,093 Reaction score 1,733 Sep 4, 2015 #2 Mwaka 1986, HGL. Namkumbuka FUPA na KYARA Nawakumbuka Wabiks na Wakorea
Chimps JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 559 Reaction score 356 Sep 4, 2015 #3 shuhudia lihemla said: sema umemaliza mwaka gani na mchepuo gani. vp unakumbuka nn pale. Click to expand... Yalikuwa na fujo haya, na kujifanya yanajua sana. Aibu kwenu
shuhudia lihemla said: sema umemaliza mwaka gani na mchepuo gani. vp unakumbuka nn pale. Click to expand... Yalikuwa na fujo haya, na kujifanya yanajua sana. Aibu kwenu
S shuhudia lihemla Member Joined Jul 12, 2014 Posts 61 Reaction score 17 Sep 4, 2015 Thread starter #4 nakumbuka ukiwaita milambo boys wanakuharbu walitaka kuitwa milambo men. pia nakumbuka cku tabora girl walvomwagiwa kinyesi na milambo ucku.
nakumbuka ukiwaita milambo boys wanakuharbu walitaka kuitwa milambo men. pia nakumbuka cku tabora girl walvomwagiwa kinyesi na milambo ucku.
J john sirikwa Member Joined Feb 14, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Jan 2, 2017 #5 Baija Bolobi said: Mwaka 1986, HGL. Namkumbuka FUPA na KYARA Nawakumbuka Wabiks na Wakorea Click to expand... Hivi unajua kirefu cha BIKS? Nimemkumbuka Biteyamanga Masudi ndiye mwanzilishi wa hili Jina. kirefu chake ni Bukoba international kenge supply. Nadhani umenielewa vizuri. Hivi students center bado ipo? Enzi hizo Tabora girls wanaitwa warsaw (woso)
Baija Bolobi said: Mwaka 1986, HGL. Namkumbuka FUPA na KYARA Nawakumbuka Wabiks na Wakorea Click to expand... Hivi unajua kirefu cha BIKS? Nimemkumbuka Biteyamanga Masudi ndiye mwanzilishi wa hili Jina. kirefu chake ni Bukoba international kenge supply. Nadhani umenielewa vizuri. Hivi students center bado ipo? Enzi hizo Tabora girls wanaitwa warsaw (woso)