Milango ya gari haifunguki tatizo nini?

Milango ya gari haifunguki tatizo nini?

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
541
Reaction score
1,449
Wadau gari ipo hapa ila cha kushangaza kila ukifungua mlango haufunguki na ufunguo unaingia mpaka ndani lakini haitaki kwenda clockwise ili ifungue na ni milango yote?

Shida nini na ufumbuzi
 
Back
Top Bottom