S son of a teacher JF-Expert Member Joined Jul 30, 2017 Posts 541 Reaction score 1,449 Dec 7, 2018 #1 Wadau gari ipo hapa ila cha kushangaza kila ukifungua mlango haufunguki na ufunguo unaingia mpaka ndani lakini haitaki kwenda clockwise ili ifungue na ni milango yote? Shida nini na ufumbuzi
Wadau gari ipo hapa ila cha kushangaza kila ukifungua mlango haufunguki na ufunguo unaingia mpaka ndani lakini haitaki kwenda clockwise ili ifungue na ni milango yote? Shida nini na ufumbuzi
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,130 Reaction score 8,362 Dec 7, 2018 #2 Nasubr majibu