Milango ya kisasa kwa garama nafuu

manyusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2009
Posts
292
Reaction score
170
Tunatengeneza milango ya aina mbalimbali kwa kutumia mbao ngumu mninga na mkongo,garama ya mlango mmoja ni kati ya 150,000-200,000 kutegemeana na aina ya mlango na finishing yake.Tutembelee katika karakana yetu Sinza palestina au wasiliana nasi kwa simu 0713876210 au email;akamanyusi@yahoo.co.uk
 

Attachments

  • IMG0054A.jpg
    3.5 KB · Views: 973
  • IMG0055A.jpg
    3.8 KB · Views: 940
  • IMG0056A.jpg
    3.7 KB · Views: 868
  • IMG0053A.jpg
    6.8 KB · Views: 1,461
Mkuu asante kwa hii..nitakutafuta hivi karibuni. Je mnatengenza pia fremu za madirisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…