INAUZWA Milango ya Mbao na Frame kwa Mbao za Mninga, Mkongo, Mbanda Kwa bei rahisi sana

INAUZWA Milango ya Mbao na Frame kwa Mbao za Mninga, Mkongo, Mbanda Kwa bei rahisi sana

Status
Not open for further replies.

Guru Master

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
226
Reaction score
594
Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana.

Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi.

Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox vidogo vidogo Tsh. 350,000

Mawasiliano zaidi 0714160222. Guru Master. Napokea order za Milango na Vitanda pia.

IMG_20210725_140937_492~2.jpg

IMG_20210725_140940_114~2.jpg

IMG-20210722-WA0033.jpg

IMG-20210722-WA0034.jpg
IMG-20210731-WA0016.jpg
IMG-20210730-WA0038~2.jpg
IMG-20210730-WA0037.jpg
IMG-20210727-WA0030.jpg
 
Sijui kwanini watanzania tunapenda sana ficha hizi bei za bidhaa...imagine amazoni au alibaba wanakwambia ukiipenda hii Tv njoo inbox...ni moja ya tabia za kitapeli..samahan kuchafua wall yako
Sijui umeona wapi pameandikwa njoo inbox. Labda tuanzie hapo. Isije ikawa ulikuwa na neno hili muda mrefu ukawa unatafuta na wewe utalizungumzia wapi.
 
Kianzia 6 bei inaongeleka kiongozi?

Na hiyo bei ni complete na top yake au mlango kama mlango tu?
 
Sijui umeona wapi pameandikwa njoo inbox. Labda tuanzie hapo. Isije ikawa ulikuwa na neno hili muda mrefu ukawa unatafuta na wewe utalizungumzia wapi.
Alichomaanisha unapotangaza weka bei. Sio mpaka uulizwe
 
Thread ni Hii hapa boss. Labda kwa kuwa mimi ni mkenya sijui tofauti ya 450k na 300k
Aisee ..... Imekuwa tena 450k na 300k? 😁 Hebu refer hapo nlipoandika mbona ni rahisi sana. Ni QUOTE please ili nikuombe msamaha kwa kupotosha Umma.
 
unapatikana mkoa gani, dodoma unaifikisha? kwa gharama yako (utanikata) usafiri wangu shida ni maliasili njiani.
 
unapatikana mkoa gani, dodoma unaifikisha? kwa gharama yako (utanikata) usafiri wangu shida ni maliasili njiani.
Napokuletea maana yake kila kitu ni juu yangu.nakufikushia sehemu ambayo unaweza kuja ichukua. Na kama upo karibu na barabara kuu nakufikishia site.
 
Kwa hiyo siyo wewe uliandika hii
Soma kwa utulivu nlichoandika. Halafu nambie kwa nini unachanganyikiwa. Tulia kwanza. Shusha pumzi. Kunywa juice,maziwa ,smoothie au maji. Soma hapa chini.

"Huo ambao haujawa polished tsh 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox vidogo vidogo tsh 350,000"

Nakusikiliza. Sasa wapi unapata shida nikusaidie.
 
Sijui kwanini watanzania tunapenda sana ficha hizi bei za bidhaa...imagine amazoni au alibaba wanakwambia ukiipenda hii Tv njoo inbox...ni moja ya tabia za kitapeli..samahan kuchafua wall yako
Yah angewawekea bei hadharani kurahisha mambo..
Mlango kama 400000 au 500000 aseme

Ova
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom