Sasa mkuu utapimaje SASA. Maana wengine tunajengea Dar hukuTunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana.
Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi.
Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox vidogo vidogo Tsh. 350,000
View attachment 1870564
View attachment 1870565
View attachment 1870566
View attachment 1870573
Unamwambia fundi anakupimia unatuma vipimo. Ndivyo watu wanavyofanya.Sasa mkuu utapimaje SASA. Maana wengine tunajengea Dar huku
fundi nae ana moyo ujue. Anaweza akafanya maksudi vipimo vya uongo. Kwan ye hataki tendaaa. .....NataliaUnamwambia fundi anakupimia unatuma vipimo. Ndivyo watu wanavyofanya.
Soma vizur hakuna halipotaja njoo inboxSijui kwanini watanzania tunapenda sana ficha hizi bei za bidhaa...imagine amazoni au alibaba wanakwambia ukiipenda hii Tv njoo inbox...ni moja ya tabia za kitapeli..samahan kuchafua wall yako
Mgama, mkarati, mkongo, mpilipili, mkenge,mninga,mvule,mtiki. Niendeleeee?Hivi mkuu ni aina gani ya mbao ambayo mchwa hawawezi kula?
Mkuu. Kazi zangu nasimamia mwenyewe ndo maana kwa sasa nipo Urambo Tabora. Kusimamia kazi halafu ndo nasafirisha Dar,Dodoma,Mwanzafundi nae ana moyo ujue. Anaweza akafanya maksudi vipimo vya uongo. Kwan ye hataki tendaaa. .....Natalia
Kwanza mko wapi
Mbanda,Mgando.Mgama, mkarati, mkongo, mpilipili, mkenge,mninga,mvule,mtiki. Niendeleeee?
Nataka milango 12 ya mkongo au mninga, natoa 200k kila mlango (top). Ikikupendeza anza kazi. Urefu futi 8, upana 90cmMbanda,Mgando.
Nashukuru ndugu ila kwa hiyo gharama sitoweza.Nataka milango 12 ya mkongo au mninga, natoa 200k kila mlango (top). Ikikupendeza anza kazi. Urefu futi 8, upana 90cm
kwani kuna sehem alibaba walisema lazima ufuate inbox...My point is weka bidhaa weka gharama..Soma vizur hakuna halipotaja njoo inbox