John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,342
hatuwezi kumtakila kila la heri mwanafistula fatuma.....kwa sababu alitumika kutaka kumhujumu JIDEMimi napenda kuwapongeza sana team anaconda pamoja na the finest for what they did..kwa kweli kwa wapenzi wa muzik tuliburudika..nachotaka niwasihi humu ndani..tufike mahali tujielewe..wale ni wasanii..they make money kila mtu kwa nafasi yake..kupitia mibwabwajo yako wewe wale wanapata kula yako..unavyoumiza kichwa kumuaza ruge sijui kusaga..akili yako inapoteza nafasi ya kuwaza maendeleo yako..unavyowawaza sijui millard sijui jay dee..ushawah kuwaza kama ww wanatumia angalau hata sekunde moja kukuwaza??what its on their mind saiv wanawaza wafanye nn tena wapate kula kesho..!tuache malumbano yasiyokuwa ya hoja..kuumiza vichwa..kama vipi nenda site kagombane na mafundi wako wa ujenz..acha ushabiki wa kimbea..tuwatakie kheri dada yetu jide na FA..na sio mengine..mabifu yao tuwaachie..
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Show ilifanyikia kwenye sehemu ambayo ipo enclosed na ni wazi ina maximum capacity occupancy. Sasa kama unabisha show ya MwanaFA haikuhitaji watu 400, weka ushahidi wako hapa kuwa haikuhitaji watu 400.
hatuwezi kumtakila kila la heri mwanafistula fatuma.....kwa sababu alitumika kutaka kumhujumu JIDE
kwa nini MWANAFATUMA akubali kutumika kumzibia JIDE.....amevuna fedheha na wakome wasanii wote wanaotumika kuwahujumu wenzao
Mleta uzi wewe ni mnafiki tena hukumtakia mema JIDE thats why huoni ucenge wa mwanafatuma
Show ilifanyikia kwenye sehemu ambayo ipo enclosed na ni wazi ina maximum capacity occupancy. Sasa kama unabisha show ya MwanaFA haikuhitaji watu 400, weka ushahidi wako hapa kuwa haikuhitaji watu 400.
Na wewe haya maneno yako humu yanadhihirisha ulivyo mtumwa wa fikra.
Lazima Ruge anawanyima sana raha na usingizi. Si ajabu hata mkibahatika kuupata usingizi mnamuota ndotoni!
wewe mwenyewe ni kamburula cha rugee, utashaaa mwehu wewe, akina yahaya:yell:
Naona neno "Celeb" linapoteza maana yake taratibu. Huyu Millard sijui Miadi au Maradhi ndo wa kuletwa hapa jukwaani kujadiliwa? Acheni kupoteza sifa ya JF!
well said and thats words of wisdom mkuu....mm hata hcho kiumbe sikijui wala sijai kukiskia
Kikwapa vipi hicho?