Milembe raha thana

Milembe raha thana

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
Chizi mmoja alipiga simu milembe
CHIZI :helo hapo ni milembe
RECEPTION :ndio nkuxaidieje?
CHIZI :nilikuwa naomba uniangalizie chumba no 17 kama kina m2!
RECEPTION 😱k ngoja....(baada ya mda kidogo)no hamna m2!
CHIZI :Aha nlikuwa nahakikisha kama kweli nimetoroka au bado nipo! bye
 
Umetisha mkuu... chizi bado kidogo atakuwa mzima.
 
Chizi mmoja alipiga simu milembe
CHIZI :helo hapo ni milembe
RECEPTION :ndio nkuxaidieje?
CHIZI :nilikuwa naomba uniangalizie chumba no 17 kama kina m2!
RECEPTION 😱k ngoja....(baada ya mda kidogo)no hamna m2!
CHIZI :Aha nlikuwa nahakikisha kama kweli nimetoroka au bado nipo! bye

Hahaha!! mleta mada naona utakua ndiye chizi huyo huyo, upo huku kuhakikisha kweli kama JF bado ipo.
 
machizi wanajionaga wana akili sana na watu wenye akili wao ndio wanawaona machizi mtu ukiwa chizi ni bora ufe tu ukapumzike uchizi ni habari nyingine
 
Back
Top Bottom