Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392
Chizi mmoja alipiga simu milembe
CHIZI :helo hapo ni milembe
RECEPTION :ndio nkuxaidieje?
CHIZI :nilikuwa naomba uniangalizie chumba no 17 kama kina m2!
RECEPTION 😱k ngoja....(baada ya mda kidogo)no hamna m2!
CHIZI :Aha nlikuwa nahakikisha kama kweli nimetoroka au bado nipo! bye
unaweza piga huyo chizi ukaua.
Chizi mmoja alipiga simu milembe
CHIZI :helo hapo ni milembe
RECEPTION :ndio nkuxaidieje?
CHIZI :nilikuwa naomba uniangalizie chumba no 17 kama kina m2!
RECEPTION 😱k ngoja....(baada ya mda kidogo)no hamna m2!
CHIZI :Aha nlikuwa nahakikisha kama kweli nimetoroka au bado nipo! bye
Si utavunja simu yako buree ikijua unampiga?unaweza piga huyo chizi ukaua.