Jannatul Firdaus JF-Expert Member Joined Aug 4, 2026 Posts 446 Reaction score 1,113 Sep 1, 2026 #1 Utafiti wa mwaka 2026 kutoka IWSR unaeleza kuwa 81% ya Millennials (Milenia) hunywa pombe, kiwango cha juu kuliko vizazi vingine vinavyoishi. Gen X wanafuatia kwa 77%, huku Gen Z wakiwa 74%. Takwimu hizo zimeibua mjadala kuhusu mabadiliko ya tabia za unywaji pombe kati ya vizazi.
Utafiti wa mwaka 2026 kutoka IWSR unaeleza kuwa 81% ya Millennials (Milenia) hunywa pombe, kiwango cha juu kuliko vizazi vingine vinavyoishi. Gen X wanafuatia kwa 77%, huku Gen Z wakiwa 74%. Takwimu hizo zimeibua mjadala kuhusu mabadiliko ya tabia za unywaji pombe kati ya vizazi.
mwehu ndama JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,472 Reaction score 9,542 Sep 1, 2026 #2 Karibu tupate
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Sep 1, 2026 #3 Alcohol for everyone
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Sep 1, 2026 #4 min -me 😎
Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 16,680 Reaction score 31,804 Sep 1, 2026 #5 Hii ni addiction kubwa, na yenye gharama zaidi ya nicotine,
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Sep 1, 2026 #6 Seran said: min -me 😎 Click to expand... Ma mnyoo , acha tunywe tu 🤣