Tetesi: Milestone International Co. Ltd iliyolipwa Milioni 866.6 ni kampuni ya Mbowe inayosimamiwa na shemejiye Kineneko Mtei

Status
Not open for further replies.
Waachie wanachadema chama chao. Mbona ccm walikuwa wanaomba msaada kwa matajiri pesa kwenye mikutano yao??? Mbona uulizi. Sasa kama chama iliomba/ilichukua mkopo unamaana haitakiwi kurudisha??? Do you think wangeenda kumwomba huyo pimbi wenu angetoa. Kuendesha chama c mchezo. CCM pamoja na rasilimali kibao na wabunge ruzuku lakini bado waliendelea kukinga mikono kuomba pesa kwa wafadhili kwa ajili ya mikutano yake. Lete mahesabu ya ccm tuyaone.
 
Mbona hili hamlisemei?
Hilo la Mboye tumeliona na hili pia tunaomba ufafanuzi
 
Kwa hiyo hutaki mbowe awe na kampuni?nyie ccm mna fikra za kimaskini sana ndo maana mmeharibu nchi.
 
Wamelipwa kwa kazi ipi waliyo ifanyia serikali au walilipwa kinyume na taratibu au walilipwa kwakuwa hawakustahili kulipwa au waliinyofoa sehem. hii na ile kampuni ya kitwanga ya kuweka vifaa vya alama za vidole kwenye vituo vyote vya polisi ambavyo hadi leo havijawahi kuwekwa je ni sawa?
 
Inamilikiwa kivipi kwanini usiweke hapa viambatanisho ili hata wasiokuamini wakuelewe?? Unapotosha kwa faida ya nani??
 
Mku hizi fedha zilichotwa tuu au kuna kitu hii kampuni ilisaplai ktk hiki chama.
Hebu dadavua vizuri kwani naona fedha unasema zilienda kwa hii kampuni ongeza ongeza nyama mkuu
 
wewe unasema uzushi, tupe taarifa tofauti na hii, otherwise muwajibike.
Nchi yetu bhana Yaani unamchafua mtu alafu unataka yye ndio alete ushahidi?? Ni sawa na mmi niseme JPM ni shoga alafu nimtake yye ndio athibitishe kwamba sio kweli tutafika kweli

Wwe unayesema kampuni inamilikiwa na mbowe uweke hapa ushahidi kwamba anahisa ngapi mjadala uishe sio umeona fursa kupitia ripoti ya CAG ili upotoshe maana hyo kampuni najua umeisikia leo kwa mara ya kwanza

Nyie ndio mmeshusha heshima ya JF... Ile ya zamani watu walikuwa wanamwaga data zote unabaki mdomo wazi cku hizi mmedanganyana kijiweni mnakuja kuanzisha thread humu alafu mnataka mbowe ndio akanushe!!
 
..unashangaa mbowe kumiliki kampuni??!umesahau wenye sifa ya kumiliki kampuni nchi hii nani??nenda bungeni waulize...ulizia nani anamiliki kampuni kubwa ya Ujenzi kule chato.!!!ama nani kafungua taasisi kubwa binafsi jana fun kwenye live TV???,..nchi hii hakuna wa kunfunga mpaka kengele kwenye umiliki wa kampuni....kama walioko madaraka wanamiliki makampuni...nani wa kumhoji ama mwenye credibility ya kumzuia mwanasiasa wa upinzani asimiliki kampuni??...unafiki ni dhambi.....anzeni kwenu wenyewe..maana. Charity begins at home...
 
Ujambazi wa hali ya juu sana,Mbowe ajiuzulu tu.
 
Ndo maana Mbowe ukimfuatilia kuhusu hili anakutanguliza akhera!, hataki mchezo, ukiingia kwenye himaya yake anapita na wewe, ni mtu hatari Sana kwenye suala la pesa
 
Zitto: Taarifa ya CAG inaonyesha CCM ilikopa pesa za wastaafu kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii
  1. Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa CAG ameonyesha CCM kukopa kiasi cha Shilingi 337,143,334.15 kutoka mfuko wa kulipa pensheni. Kiasi hicho caha fedha hakijarudishwa hadi ukaguzi ulipokuwa unafanyika mwezi Februari mwaka 2018.
    Amesema kuwa CCM inakula fedha za waastaafu wake na kufananisha kama mtu anayekunywa uji wa mgonjwa



 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…