Ibrahim300 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 390 Reaction score 68 Dec 23, 2013 #1 Staa machachari Miley Cyrus haipiti wiki kabla hajaonyesha vituko kwa mtandao. Katika backstage baada ya kupiga shoo, kuna video ya Instagram ambayo ilipigwa ikimuonyesha Miley Cyrus akiyapiga makalio yake huku akidengua kiuno. Cheki video yenyewe hapa: Miley Cyrus Adengua Kiuno, Na Kujichapa Makalio Nje Ya Stage(VIDEO) ) - bkuHABARI
Staa machachari Miley Cyrus haipiti wiki kabla hajaonyesha vituko kwa mtandao. Katika backstage baada ya kupiga shoo, kuna video ya Instagram ambayo ilipigwa ikimuonyesha Miley Cyrus akiyapiga makalio yake huku akidengua kiuno. Cheki video yenyewe hapa: Miley Cyrus Adengua Kiuno, Na Kujichapa Makalio Nje Ya Stage(VIDEO) ) - bkuHABARI
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Dec 23, 2013 #2 hii ni blog yako!!!!!!!
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,602 Reaction score 20,181 Dec 24, 2013 #3 wrecking ball video is off the hook!butt naked!!! she is talented and roughneck.
Ibrahim300 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 390 Reaction score 68 Dec 24, 2013 Thread starter #4 Heaven on Earth said: hii ni blog yako!!!!!!! Click to expand... huaga naandika hapo
F furahi JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 945 Reaction score 196 Dec 26, 2013 #5 Huyu mtoto alikuwa mzuri sana enzi za Hannah Montana.. Sa hivi ni bange tupu.. kwisha habari yake