patrickcharles
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 534
- 287
Daah! Kiongozi unataka iwe 50% = Mil. 1.75 sio?Mkuu kila kitu kinaonekana kiko fine ila hapo kwenye bei ndio pana mushkeli... Jiandae kutoa dicount ya 50%!
Embu njoo nalo dar tulitest vip linafika baada ya muda gani. Ili majadiliano yawe live, apa apa mkuu, we unaonajeDaah! Kiongozi unataka iwe 50% = Mil. 1.75 sio?
Duhhh, pesa ya mafuta analipa nani mkuuEmbu njoo nalo dar tulitest vip linafika baada ya muda gani. Ili majadiliano yawe live, apa apa mkuu, we unaonaje
Ndo maanake, siku hizi unapata vitz poa kabisa kwa mil 4, hicho chuma chakavu kinachotembea.Daah! Kiongozi unataka iwe 50% = Mil. 1.75 sio?
Umetoa mangapi bure mkuuMkuu hivi kila Gari laZima kuuza? Nyingine toa km zawadi mzee, duh
aaah wapi Dar kote huko hata KIA haifiki hiyoMm nimeipenda inaweza kuendeshwa mpaka dar? Yaani kama nimiinunua?
kaka kama unataka gari ya uhakika kwa 2.5m nichk kwa number 0718221009Mkuu kila kitu kinaonekana kiko fine ila hapo kwenye bei ndio pana mushkeli... Jiandae kutoa dicount ya 50%!