lookmoney JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 417 Reaction score 164 May 27, 2022 #1 Miliki gari kwa mkopo mpaka wa milioni 60(60,000,000tsh) ...inatakiwa uwe na uwezo wa kulipia angalau 60% ya gari unalotaka.. Tupigie 0744551655 kwa maelezo zaidi au fika magomeni mikumi kuona gari zetu mbalimbali ,tuweze kukupa na maelezo zaidi. View attachment 2240660View attachment 2240659View attachment 2240662View attachment 2240661View attachment 2240658View attachment 2240663View attachment 2240664View attachment 2240665
Miliki gari kwa mkopo mpaka wa milioni 60(60,000,000tsh) ...inatakiwa uwe na uwezo wa kulipia angalau 60% ya gari unalotaka.. Tupigie 0744551655 kwa maelezo zaidi au fika magomeni mikumi kuona gari zetu mbalimbali ,tuweze kukupa na maelezo zaidi. View attachment 2240660View attachment 2240659View attachment 2240662View attachment 2240661View attachment 2240658View attachment 2240663View attachment 2240664View attachment 2240665
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,451 May 29, 2022 #2 Ukishalipa hiyo 60% inayobaki unapaswa uilipe baada ya muda gani. Tujibie hili swali hapa ili tuone kama tunakuja inbox au la
Ukishalipa hiyo 60% inayobaki unapaswa uilipe baada ya muda gani. Tujibie hili swali hapa ili tuone kama tunakuja inbox au la
Billion Dolar JF-Expert Member Joined Apr 7, 2021 Posts 1,292 Reaction score 2,953 May 29, 2022 #3 Mi nikajua unakopeshwa gari zimazima kumbe unalipia tena. Mm nahitaji crossroad kama nitapata mkopo wa asilimia mia nitoe lski 5kila mwezi
Mi nikajua unakopeshwa gari zimazima kumbe unalipia tena. Mm nahitaji crossroad kama nitapata mkopo wa asilimia mia nitoe lski 5kila mwezi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 29, 2022 #4 Ahsante kwa taarifa...