Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
-
- #401
Hiace nimeshusha bei njoo ulipe milioni 12Toyota Hiace
Engine:2rz
Manual
Bei: Milioni 14 maongezi
Mawasiliano:0658124554
View attachment 1706776View attachment 1706777View attachment 1706778View attachment 1706779View attachment 1706781
Mkuu ipo hii?Nipe Milioni 3 chap uchukue hii
Mawasiliano:0658124554View attachment 1697668
Ilishauzwa mkuu,pole kwa kuchelewa kujibuMkuu ipo hii?
Mkuu bado ipo?Toyota Harrier New Model
Mwaka:2014
2000CC
34000km
Bei: Milioni 92
Full duty paid
Mawasiliano:0658124554View attachment 1720135View attachment 1720136View attachment 1720138
Hio gari ni ya hapa Moshi, naijua sana mwenye nayo alishawahi nisababishia ajali akaenda kunifanyia service kwa gharama zake.
Hapo pichani ni barabara ya kwenda TPC baada ya kupita Getifonga.
SemaKaka