Natafuta kiwanja Dar si chini ya sqm 1200!! Na eneo liwe tambalale. Maeneo ya Mbweni, Mbezi, Boko, Kigamboni, Makongo, Toangoma...nk. Nina Tsh.15million. Email yangu ni woowtv@live.co.uk
[ngalia usiuziwe kiwanja cha kwenda kwa mtumbwi wakati wa mvua kwa maana nyakati hizi za kiangazi wengi wanauza mashamba ya mpunga wakidanganya kua wanauza viwanja