Seems like you know something on construction ...Nimeuliza nielewe.... So nishajibiwa pia! huwezi fahamu watu wananafasi gani katika uchakarikaji wa maisha mnaoelewa hamuulizi ndio hivyo tu.
Huyu ni Qs kabisa..!Utakuwa mjenzi wewe[emoji106]
Kuna tofauti kati ya kuhoji kitu unachokijua na kuhoji kitu usichokijua...Kwakuwa babu yako alikudanganya ili ujenge nyumba yako ni lazima uwe engineer, QS au valuer...
Unasahau naweza kuwaajiri wao wanijengee na hivyo nalazimika kuwahoji...
Dogo... unapohoji ishu yoyote ya kisheria si lazima uwe Tundu Lissu.
Think and grow up, grandson/daughter...
Dodoma bado hatujafungua tawi mkuu ila kama watuhitaji tutakufikia
Kujenga nyumba ya vyumba viwili mnafanya kwa muda wa siku ngapi?Habari wakuu one2onefocus limited ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kujengea wateja nyumba kwa bei rafiki kabisa zaidi ya yote unaweza kufanya malipo kidogo kidogo bila riba yeyote
Mfano nyumba ya Vyumba viwili vikubwa na self, sebule, jiko, store,jiko, dining room na choo cha public ni shiling milion 32 sasa wewe unaweza kutulipa asilimia 50% ya bei husika yaani mil 16 halafu sisi tutajenga nyumba yako yote baada ya hapo tunakuita kuja kuhakiki ukiridhika utamalizia hizo mil 16 zilizobakia taratibu bila riba yoyote ukimaliza kulipia tutakukabidhi nyumba yako na itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka mitatu chochote kitakachoharibika kitafanyiwa marekebisho bure na kampuni kwa Maelezo zaidi na sample za kazi zetu tembelea pia waweza kunipigia kwa namba 0763772636 au 0789047874 au waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana milki Nyumba yako sasa
Pia tunahusika na upimaji wa viwanja kama una kiwanja chako ambacho hakijapimwa karibu tukupimie kwa bei rafiki kabisa nichek kwa 0763772636/0789047874
View attachment 472851View attachment 472852View attachment 472853View attachment 472854
whatsap 0763772636 au piga 0789047874/0763772636
Miezi mitatu karibu WhatsApp kwa 0763772636Kujenga nyumba ya vyumba viwili mnafanya kwa muda wa siku ngapi?
Kama wahitaji kujua zaidi Tafadhali ni WhatsApp kwa 0763772636 au nitext au piga kwa 0763772636/0789047874 nitakujibu maswal yako yote karibuSawa mkuu, ninahitaji kujua vema hyo huduma.
Nyumba zipo maeneo gani hizi
Haya maswali anayakwepa sanaOfisi zenu ziko wapi?
Ziko makumbusho complex floor ya kwanza na kwa Mwanza tupo Buzuruga Plaza karibuOfisi zenu ziko wapi?
Tunajenga kwenye kiwanja cha mteja mkuuNyumba zipo maeneo gani hizi
Kama wewe ni mjenz kweli karibu ofisini tutakupa hitaji la moyo wako hofu ondoaBongo bana!! kwa kuchora tuu saaafi!!!!!!!!!!!!! sasa ije kwenye jego halisi sasa ....maweeee tofauti kabisa na mchoro!!!!!!!!!!!material sub standard ili kufikia hiyo 32m. Ingekuwa viziri kama mngeweka picha za nyumba halisi sio hizi za outodesk
Nimekwepa wapi kijana acha uvivu wa kusoma kwenye Tangazo langu nimeelezea kila kitu sasa sijui nimekwepa nini labdaHaya maswali anayakwepa sana
Je wajua maana ya neno Tu? Kama hujui uliza au Rudi darasan kwanza penda kujifunza mambo mapya kila siku itakusaidia kupanua ufahanu wako mkuiUngeondoa hilo neno "tu" ktk hiyo 32 ningeupitisha huu mradi wako kuwa ni mzuri,
Lkn kutokana na hilo neno "tu" nitakuunganisha ktk list ya bwana Daudi Bashite