pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
-
- #241
Ni sawa tu mkuu tunakuhudumia na pia unaweza kulipa kidogo kidogo wakati ujenz ukiendelea bila riba yoyote....safi sana, inakuwaje kama nina ramani yangu mwenyewe...?
Mkuu, ungeweka kila picha ya nyumba na ramani yake ili tuone umahiri wako, otherwise haileti maana.Habari wakuu one2onefocus limited ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kujengea wateja nyumba kwa bei rafiki kabisa zaidi ya yote unaweza kufanya malipo kidogo kidogo bila riba yeyote
Mfano nyumba ya Vyumba viwili vikubwa na self, sebule, jiko, store,jiko, dining room na choo cha public ni shiling milion 32 sasa wewe unaweza kutulipa asilimia 50% ya bei husika yaani mil 16 halafu sisi tutajenga nyumba yako yote baada ya hapo tunakuita kuja kuhakiki ukiridhika utamalizia hizo mil 16 zilizobakia taratibu bila riba yoyote ukimaliza kulipia tutakukabidhi nyumba yako na itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka mitatu chochote kitakachoharibika kitafanyiwa marekebisho bure na kampuni kwa Maelezo zaidi na sample za kazi zetu tembelea One2One Focus Company Limited[/URL] pia waweza kunipigia kwa namba 0763772636 au 0789047874 au waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana milki Nyumba yako sasa
Pia tunahusika na upimaji wa viwanja kama una kiwanja chako ambacho hakijapimwa karibu tukupimie kwa bei rafiki kabisa nichek kwa 0763772636/0789047874
View attachment 472851View attachment 472852View attachment 472853View attachment 472854
www.one2onefocus.com whatsap 0763772636 au piga 0789047874/0763772636
Wasiliana naye hapo. Acha visingizio.Mkuu, ungeweka kila picha ya nyumba na ramani yake ili tuone umahiri wako, otherwise haileti maana.
Huwezi kuweka kila kitu hadharani mkuu, hii ni kazi kwa wahitaji wanakuja ofisini tunawaonyesha sample kila kituMkuu, ungeweka kila picha ya nyumba na ramani yake ili tuone umahiri wako, otherwise haileti maana.
Nadhani hiyo 32m ni gharama za ufundi (labour charge) tu, gharama za vifaa (material) hazijajumuishwa humo. Vinginevyo iwe ni nyumba ya tope/miti.Kwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...
Hata kama una kiwanja chako, 32M kujenga nyumba mpaka iishe, nna mashaka na uimara wa hiyo nyumba.
Easy come easy Go!Asante sana...namuona Kelvin Isaya kwa darubini za Afande Sele kwa mbaliii...Cheap is always expensive... That is the nature
Hahahahaa dah! Kwakweli maana kama thamani yote... labour charge na material... hiyo nyumba itakuwa si ya kispotispotiNadhani hiyo 32m ni gharama za ufundi (labour charge) tu, gharama za vifaa (material) hazijajumuishwa humo. Vinginevyo iwe ni nyumba ya tope/miti.
Asante sana Mkuu wangu kwa ushauri nakuahidi kulifanyia kazi barikiwaMkuu ni kweli mnafanya kazi nzuri jitangazeni ktk radio. Tv ili watanzania wawe imani kwenu zaidi, watanzania wengi tunahitaji sana huduma km hizi. Unajua nasema hivyo kwa sababu unakuta labda upo mwanza unataka kujenga kilimanjaro sina mda wa kusimania ujenzi wa nyumba husika, pale unatafuta/ndugu rafiki asimamie ujenzi unashangaa unatuma tu hela, lakin siku unaenda kwenye nyumba unakuta madudu tupu. Una la kumfanya ndugu yako we unabaki unalia tu.
Ndio mkuu unakabidhiwa bt chini ya makubaliano maalumNyumba ikiisha mnanikabidhi wakati naendelea kulipa?
Mkuu savimbi JB sema wewe kiongozi maana watu wanadhani mil 32 huwez kujenga nyumba haya sasa wewe umejenga kwa mil 20 sijui watasema ni ya karatasi? Hahaha amkeni ndugu zangu Wa Tz ni wakati wako wa kutoka kwenye nyumba za kupanga sasaKweli watu hatufanani, kuna watu wanaona 32 milion ni ndogo!!!!!,,,,mimi nyumba ya 20 m ni maridadi kabisa kwangu
Pengine ww ndio unaweza kuwa mjinga! !Usanii wa kijinga tafuteni njia nyingine ya kupata hela hakuna mjinga wa kukubali kuwa hizo nyumba zinaweza kujengwa kwa amount hiyo
Asprin ndugu yangu usilolijua ni sawa na usiku wa Giza Fanya research njoo upingane nami kwa fact kwamba hiyo mil 32 haitoshi kujenga nyumba ya kisasa nami nitakujibu with fact na nitakupeleka ukaone nyumba za wenzio zilizojengwa na ukague uimara wake usije na blaablaa tuHahahahaa dah! Kwakweli maana kama thamani yote... labour charge na material... hiyo nyumba itakuwa si ya kispotispoti
Umejuaje mkuu kama ametoa mtandaoni??Good idea..
Mkuu wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana.. Umeshindwa kiajiri architect afanye sample designs za Ku display? Maana unatuwekea mapicha picha ya mtandaoni ambayo yanatupa Mashaka kama kweli uko serious na kazi yako...
Pia, nyumba ya 32m regardless of location, soil conditions, plan size and the like ni uongo..
Me thinks.
Asprin ndugu yangu usilolijua ni sawa na usiku wa Giza Fanya research njoo upingane nami kwa fact kwamba hiyo mil 32 haitoshi kujenga nyumba ya kisasa nami nitakujibu with fact na nitakupeleka ukaone nyumba za wenzio zilizojengwa na ukague uimara wake usije na blaablaa tu