pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
-
- #261
Hizi sijatoa mtandaoni mkuu tumetengeneza wenyewe ofisin kama nimedownload mahali na anauhakika mwambie alete reference haphapa hizi zote ni kazi za ofisiUmejuaje mkuu kama ametoa mtandaoni??
Labda kwa kukujibu ni kuwa nyumba ya mil 32 ni nyumba ya Vyumba viwili sio vitatu Nyumba ya Vyumba vitatu yaan Masta bed moja Vyumba viwil sebule choo nk ni mil 50OK hebu tuanzie hapa:
Nyumba ya rooms 3 za kulala (moja ikiwa master), sebule, dinning, jiko, stoo na baraza mbili...
Tufanye ni nyumba ya kawaida kabisa ya sqmts 120
1. Inachukua tofali ngapi... (na bei yake ni shingapi uiweke pembeni)
2. Cement mifuko mingapi?
3. Mchanga kiasi gani?
4. kokoto kiasi gani?
5. Nondo kiasi gani?
6. Maji kiasi gani?
7. Labour charge mpk kuanzia msingi mpaka utayari wa kuezeka ni shingapi??
Tuendelee kwenye kupaua
1. Mbao za thamani ya shingapi?
2. Mabati (tusiweke vigae maana tutaaibishana) mangapi ya geji ipi na thamani yake...
3. Misumari
4. Gharama za usafirishaji
5. Labour charge
Turudi kwenye security
1. Grills za madirisha (tufanye madirisha 14)
2. Frames za milango ( tufanye 9)
3. Milango yenyewe... tufanye milango 6 tu, ikiwa na vitasa vyake)
4. labour charge
Tuende kwenye plumbing...
1. Mashimo ya vyoo na kuyajengea
2. Kutandaza mabomba ya maji safi na maji taka
3. labour charge
Haya Umeme
1. Nyaya zote na fittings
2.labour charge
Twende kwenye finishing
1. Plasta nyumba nzima... nje na ndani
2. Floor
3. Skimming
5. Blandering na ceiling boards
6. Rangi
7. Tiles (kama inalazimu)
8. Labor charge
Najua nimesahau vingi... lakini mpaka hapo ukipiga hesabu ya haraka... 32M ilishaishia kwenye kupaua.
No strings attached!!
Wewe unashangaa mil32 wakati mwaka juzi tulikuwa tunajenga kwa mil 28? Sisi huu ni mwaka wetu wa nane sasa Asprin hatujaanza Jana broOK hebu tuanzie hapa:
Nyumba ya rooms 3 za kulala (moja ikiwa master), sebule, dinning, jiko, stoo na baraza mbili...
Tufanye ni nyumba ya kawaida kabisa ya sqmts 120
1. Inachukua tofali ngapi... (na bei yake ni shingapi uiweke pembeni)
2. Cement mifuko mingapi?
3. Mchanga kiasi gani?
4. kokoto kiasi gani?
5. Nondo kiasi gani?
6. Maji kiasi gani?
7. Labour charge mpk kuanzia msingi mpaka utayari wa kuezeka ni shingapi??
Tuendelee kwenye kupaua
1. Mbao za thamani ya shingapi?
2. Mabati (tusiweke vigae maana tutaaibishana) mangapi ya geji ipi na thamani yake...
3. Misumari
4. Gharama za usafirishaji
5. Labour charge
Turudi kwenye security
1. Grills za madirisha (tufanye madirisha 14)
2. Frames za milango ( tufanye 9)
3. Milango yenyewe... tufanye milango 6 tu, ikiwa na vitasa vyake)
4. labour charge
Tuende kwenye plumbing...
1. Mashimo ya vyoo na kuyajengea
2. Kutandaza mabomba ya maji safi na maji taka
3. labour charge
Haya Umeme
1. Nyaya zote na fittings
2.labour charge
Twende kwenye finishing
1. Plasta nyumba nzima... nje na ndani
2. Floor
3. Skimming
5. Blandering na ceiling boards
6. Rangi
7. Tiles (kama inalazimu)
8. Labor charge
Najua nimesahau vingi... lakini mpaka hapo ukipiga hesabu ya haraka... 32M ilishaishia kwenye kupaua.
No strings attached!!
Unajua mpaka michepuko yangu kina Sakayo, Shunie, emmyta na wengine kumi na saba... kwa bei yako watanishangaa kwanini mpaka leo sijawanunulia vitz kama nyumba ni rahisi namna hii kwa gharama zako....
Labda kwa kukujibu ni kuwa nyumba ya mil 32 ni nyumba ya Vyumba viwili sio vitatu Nyumba ya Vyumba vitatu yaan Masta bed moja Vyumba viwil sebule choo nk ni mil 50hii ni sample ya nyumba ya Vyumba vitatu view kwenye hiyo picha utaona tumekokotoa bati kiasi gan tofal ukubwa wa eneo nk
Serious bro... ukiniwekea picha ya nyumba uliyoijenga wewe kama wewe... achana na hizi unazotuwekea hapa... kwa bei hiyo unayosema. nakuahidi kuwa mteja wako niliyetukuka. Hebu tuwekee myumba uliyoijenga wewe kama wewe... achana na hizi unazogoogle.Wewe unashangaa mil32 wakati mwaka juzi tulikuwa tunajenga kwa mil 28? Sisi huu ni mwaka wetu wa nane sasa Asprin hatujaanza Jana bro
It's hard to believe ila wakati wako wa kujenga ukifika usijengee vichochoron tafuta kampuni yoyote si lazima yetu tel them with such budget can't u have a good house? Fanya tafiti katika kampuni mbali mbali then utapata majibu au njoo ofisin tukuonyeshe nyumba tulizojenga kwa buget hii tena less than coz kabla Magu ajaingia vitu havikuwa juuIt sounds good but its not real!
Yes na ya Vyumba vinne ni mil 70 material ni hizohizo tofauti ukubwa wa EneoNashukuru kwa ufafanuzi...
Vyumba viwili 32M
Vyumba vitatu 50M
Hii inamaanisha nyongeza ya chumba kimoja imecost 18M. Hii sasa nadhani utakuwa umenielewa sasa. Ujenzi is not a joke. Huwezi kusema tu 32M unaweza kujenga nyumba ya rooms 3 bila kuangalia mazingira na hali halisi...
You see? Boy...unahitaji PR kubwa sana kuwaelekeza walaji. Mi nimekuchangamsha kidogo tu ukapoteza dira... you know?Yes na ya Vyumba vinne ni mil 70 material ni hizohizo tofauti ukubwa wa Eneo
Nilipoteza dira kiivipi eboo swala ni kwamba mil 32 inajenga nyumba na nimetoa mchanganuao wa nyumba ya mil 32 so kama hutaki kuamini sikulazimishiYou see? Boy...unahitaji PR kubwa sana kuwaelekeza walaji. Mi nimekuchangamsha kidogo tu ukapoteza dira... you know?
Sawa TomasoUtapeli tu
Picha za mtandaoni zinajulikana.. Nyingine tunajua wachoraji wake..Umejuaje mkuu kama ametoa mtandaoni??
So unataka kusema hizi picha ni za mtandaoni hahaa nacheka kwa mapana na marefu mkuuPicha za mtandaoni zinajulikana.. Nyingine tunajua wachoraji wake..
Hahahah watanzania nyosoPicha za mtandaoni zinajulikana.. Nyingine tunajua wachoraji wake..
Kama sio za mtandaoni, hii nyumba umejenga wapi? Tunaomba elevations kama tatu hivi..Nyumba hii ni ya Vyumba vitatu ujenz unaendelea garama yake ni mil 54 tu material ufundi kila kitu juu yetu na bado itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa zaidi ya miaka 5 kwa chochote kitakachoharibika tutarekebisha kwa garama zetuujenzi bado unaendelea
Hahaha wana JF wengine bana kazi kwel kwel yaan hii picha ni ya mtandaoni pole sana kijana endelea na wivu wako sisi acha tufanye kazKama sio za mtandaoni, hii nyumba umejenga wapi? Tunaomba elevations kama tatu hivi..
Just clear our doubts..