Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu


Project yetu ya kibaha ikiwa katika hatua za kukabidhi
 

Moja ya project yetu kibaha
Karibuni kwa ujenzi bora na wa uhakika kabisa
 

Project Yetu maeneo ya bweni DSM hili no gorofa moja ina vyumba vinne kimoja juu vitatu chini sebule Dining, sebule store kitchen ya kisasa
 

Nyumba ya mbweni kwa muonekano wa ndani
Kwa mahitaji yako ya kujengewa nyumba za kisasa kwa garama rafiki tafadhali wasiliana nasi kwa WhatsApp 0763772636 karibuni sana
 
Nyumba yako maisha yako ujenzi bora na wa kisasa zaidi wasiliana nasi
 
Leo ni mwaka tangu niweke hili tangazo mkuu je umeshaona MTU kalalamika kuibiwa? Nimeona nikukumbushe tu kuwa sio kama wewe sio mwaminifu usidhani na wengine wako ivo
Nimepitia Uzi huu, pamoja na mazuri unayofanya kuitangaza biashara yako kuna mapungufu kidogo kwenye lugha unayoitumia kuwajibu wateja wenye negative comments, deal nao professionally usiwe na jazba.
 
Nimepitia Uzi huu, pamoja na mazuri unayofanya kuitangaza biashara yako kuna mapungufu kidogo kwenye lugha unayoitumia kuwajibu wateja wenye negative comments, deal nao professionally usiwe na jazba.
Sawa kiongoz asante kwa ushauri
 

Nyumba yako maisha yako ikiwa kwenye hatua za mwisho
 
Karibuni kwa ujenzi bora na wa kisasa zaidi
 
Karibuni sana kwa ujenzi bora na imara zaidi
 

Tunachora ramani tunaandaa BOQ na tunajenga karibuni sana kwa ujenzi bora na wa kisasa kabisa Eyes on Property ni jibu lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…